Your review helps us to improve our IT services and serves as a guide for other clients.

Mteja
“Nilikuwa sijui ni aina gani ya kompyuta inayofaa kwa ajili ya kazi zangu za kiofisi, lakini Dtech walinipa ushauri wa kitaalamu na kunisaidia kupata kifaa bora kwa bei nafuu. Huduma yao haishii tu kwenye kutengeneza, bali pia kukuelimisha jinsi ya kutunza vifaa vyako ili vidumu muda mrefu.